Mwambieni Pep Guadiola haya machache kuhusu EPL

Mwambieni Pep Guadiola haya machache kuhusu EPL

Umesahau kumwambia kuwa Granada na Levante wakija EPL hawatabanduka kwenye top four kama sio kuchukua ndoo....!

Mwambie kuwa La liga ni ligi bora kuliko EPL

Mwambie kuwa La liga imedominate soka la Ulaya kwa miaka 10 mfululizo, Champions League na Europa League

Pia mwambie Real Madrid ndio club tajiri kuliko zote dunian

Mwambie kuwa Barcelona yake ilikuwa tishio haijawahi tokea katika ulimwengu wa soka tuka dunia imeumwa

Mwambie pia, alimtetemesha Fargie na EPL yote

Mwambie pia, Messi wake alimtwanga 4 Wenger

Mwambie EPL ni internal league, nje ya hapo, wanapigwa hata na vitimu vya mtaani huko Slovakia
Nakubaliana na we we kwanba ligi bora ni Spain kwa sababu wanatawala soka la ulaya kwa miaka mingi sasa wakati waingereza wao wanashindwa kuingia katika kumi na sita bora ulaya
 
Mourinho asipochukua kombe mi nakunya mafungu mafungu mpaka kwa maghufuli....!!! Chelsea hachukui kombe lolote msimu huu....FA hachukui, ligi ndo kabisaa
msimu huu utakunya sana
 
Fergie, Mou na Benitez ndo wanaijua hiyo ligi vizuri. Makocha wengine wanaonewa tu maskini. Bahati mbaya sana Benitez kajipoteza kiaina
94b6ad38ea54f9c1364ec5715d52d9b1.jpg
 
Back
Top Bottom