PostGE2025 Mwambieni Samia, Kanisa Katoliki sio Kanisa la Gwajima. Hana ubavu wa kulifungia

PostGE2025 Mwambieni Samia, Kanisa Katoliki sio Kanisa la Gwajima. Hana ubavu wa kulifungia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lakini hela zinapigwa aisee
2014 Pope Francis aliwatimua vigogo watano wa Bank ya Vatican kwa kashfa ya utakasishaji (laundering)

Ila dunia hii hakuna wa afadhali kila sehemu upigaji tu.
 
Hakuna haja ya kuwafungia ni kuziba mianya ya upigaji tu lazma washike adabu. Ondosha MoU piga kodi makontena rudisha
 
Katoliki hakuna Mfalme au kiongozi yoyote katika dunia hii aliyeweza kupambana nao na akabakia salama.
Samia anaweza kupitia historia namna dola ya Ottoman Empire ilivyo kufa baada kulewa sifa za kutaka kuingia Itali ili wakamuue Papa na kufuta ukatoliki ili kuusimamisha Uislam, Ajifunze juu ya Rais ya wa Marekani Abraham Lincoln namna alivyo teswa na hao majamaa hadi kuandika barua ya kukiri na hatari juu ya maisha yake.
Ajifunze juu ya raisi JFK wa Marekani na kile kilicho mkuta baada ya kupingana na Vatican.
 
Katoliki hakuna Mfalme au kiongozi yoyote katika dunia hii aliyeweza kupambana nao na akabakia salama.
Samia anaweza kupitia historia namna dola ya Ottoman Empire ilivyo kufa baada kulewa sifa za kutaka kuingia Itali ili wakamuue Papa na kufuta ukatoliki ili kuusimamisha Uislam, Ajifunze juu ya Rais ya wa Marekani Abraham Lincoln namna alivyo teswa na hao majamaa hadi kuandika barua ya kukiri na hatari juu ya maisha yake.
Ajifunze juu ya raisi JFK wa Marekani na kile kilicho mkuta baada ya kupingana na Vatican.
Wawaulize wamarekani nguvu ya RC na kwa nini karibu marais 50 wakatoliki ni wawili tu.
 
Kama anafikiri Kanisa Katoliki ni bendi yake ya taarabu, basi ajaribu kufanya ujinga wake! Aishie huko huko kwenye vichambo vyake na hao vibaraka wake wapaka hina kwenye ndevu.
 
Hizi takwimu atakuwa hanazo. Elimu yake ya darasa la nne la ngumbaru ndiyo inamponza. Kama anafikiri kanisa katoliki ni kadude kadogo tu, atubuthu kuligungua. Akilifungia kanisa katoliki ndio utakuwa mwisho wa utawala wake wa mabavu. Tutachoma moto misikiti yote nchini kulipiza kisasi.
Mbona machoko wa kitima mnahangaika sana?!!!!!!! Nani kasema anataka kuyafunga hayo mabanda ya shetani?!!!!!! Wala Hana mpango huo, ye ana mambo yake ya maana ya kufanya kwa taifa hili na sio kideal na mashoga nyie. Alikuwa anawaambia tu ukweli kuwa muache ungese basi.
 
Cha kisahangaza ni kwamba kumbe Samia anakwazwa sana na nyaraka za TEC, Sasa kwann muda wote huo hakulifungia Kanisa katoliki kama alivyofanya kwa Gwajima?
Waraka 8. Kumbe anahesabu tu. Lakn hasemi ni waraka upi labda umemsingizia.
 
Kinachoshangaza vita ni Serikali na TEC ila wanaingia waislamu hapo kwa sababu ya masheihk ubwabwa wachache wanaoijitoa ufahamu mimi sioni kama ni sawa maana mnaingia kwenye ngoma ambayo haipo kaeni mfikiri vizuri hakuna udini ila mnapenyezewa na wajanja mjue kama upo wakati haupo kabisaa..
 
Pale RC ataishia kuimba taarabu tuu kwenye hotuba. RC ni kitu kingine.
 
Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome.

Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama vile makanisa, maelfu ya shule, maelfu ya vyuo vikuu, maelfu ya hospitali, nyumba za watawa, nk nk.

Inakadiriwa Kanisa la Katoliki lina waumini bilioni 1.4 duniani, makusanyo (Sadaka) ya siku moja inaweza kuendesha bajeti ya Tanzania kwa miaka 5 na hii ni sadaka tu achilia mbali mapato ya miradi mingine kama shule na hospital.

Hii nguvu ya kiuchumi siyo ya kuvimbiwa na serikali ya Samia hata wenyewe wanajua, ndio maana wanaishia kusema mipasho, hawana ubavu wa kulifanya chochote achilia mbali kulifungia kama walivyolifungia kanisa la Gwajima.
Naunga mkono hoja Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

P
 
Jana kaongia kwenye 18 zao....wamempiga Marungu pale St Joseph...sasa hivi hali mbaya
 
Waliweza kulifungia la gwajima kwa sababu liko mambo ya ndani wamelisajili wenyewe. Katoliki ni la dunia nzima kulifungia hawataweza bali watafungiwa wenyewe!
 
Back
Top Bottom