Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Wawaulize wamarekani nguvu ya RC na kwa nini karibu marais 50 wakatoliki ni wawili tu.Katoliki hakuna Mfalme au kiongozi yoyote katika dunia hii aliyeweza kupambana nao na akabakia salama.
Samia anaweza kupitia historia namna dola ya Ottoman Empire ilivyo kufa baada kulewa sifa za kutaka kuingia Itali ili wakamuue Papa na kufuta ukatoliki ili kuusimamisha Uislam, Ajifunze juu ya Rais ya wa Marekani Abraham Lincoln namna alivyo teswa na hao majamaa hadi kuandika barua ya kukiri na hatari juu ya maisha yake.
Ajifunze juu ya raisi JFK wa Marekani na kile kilicho mkuta baada ya kupingana na Vatican.
Mbona machoko wa kitima mnahangaika sana?!!!!!!! Nani kasema anataka kuyafunga hayo mabanda ya shetani?!!!!!! Wala Hana mpango huo, ye ana mambo yake ya maana ya kufanya kwa taifa hili na sio kideal na mashoga nyie. Alikuwa anawaambia tu ukweli kuwa muache ungese basi.Hizi takwimu atakuwa hanazo. Elimu yake ya darasa la nne la ngumbaru ndiyo inamponza. Kama anafikiri kanisa katoliki ni kadude kadogo tu, atubuthu kuligungua. Akilifungia kanisa katoliki ndio utakuwa mwisho wa utawala wake wa mabavu. Tutachoma moto misikiti yote nchini kulipiza kisasi.
Waraka 8. Kumbe anahesabu tu. Lakn hasemi ni waraka upi labda umemsingizia.Cha kisahangaza ni kwamba kumbe Samia anakwazwa sana na nyaraka za TEC, Sasa kwann muda wote huo hakulifungia Kanisa katoliki kama alivyofanya kwa Gwajima?
Naunga mkono hoja Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome.
Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama vile makanisa, maelfu ya shule, maelfu ya vyuo vikuu, maelfu ya hospitali, nyumba za watawa, nk nk.
Inakadiriwa Kanisa la Katoliki lina waumini bilioni 1.4 duniani, makusanyo (Sadaka) ya siku moja inaweza kuendesha bajeti ya Tanzania kwa miaka 5 na hii ni sadaka tu achilia mbali mapato ya miradi mingine kama shule na hospital.
Hii nguvu ya kiuchumi siyo ya kuvimbiwa na serikali ya Samia hata wenyewe wanajua, ndio maana wanaishia kusema mipasho, hawana ubavu wa kulifanya chochote achilia mbali kulifungia kama walivyolifungia kanisa la Gwajima.
P je wanajua Jana sii Leo na Leo sii keshoo?