Mwambieni Spika waliorekodi tukio la Loliondo hawa hapa

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..

Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.

20220610_162453.jpg
 
Mods msiunganishe Ili ujumbe ufike faster
Mwehu wewe hapo ni baada ya mkuu wa wilaya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama kwenda.

Weka hapa ile kripu tuone kama hao wapo.
 
Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..

Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.

Mods msiunganishe Ili ujumbe ufike faster
Kheee..!!!! yaana badala ya kuhangaika na waliofanya tukio la kinyama, yeye anahaha kutafuta waliorekodi tukio hilo..!!! WANDAZI SHALI NEVA ENDIII..!!! Hivi aliyerekodi na aliyetenda tuko nani mkatili?
 
Back
Top Bottom