Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA?
Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI.
Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni SHERIA ZA NCHI.
Hivyo Intergovernmental Agreement(IGA) inanguvu kuliko Mikataba ya Utekelezaji HGA (Host Gorvanment Agreement).
Tukikosea tukapitisha katiba/Intergovernmental Agreement mbovu, basi tutarajie Mikataba ya Utekelezaji mibovu zaidi, Kwakuwa Mikataba yote itakayosainiwa haitatoka nje ya yale yaliyomo kwenye Intergovernmental Agreement.