DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Huyu mdada alipata bwana mpya juzi tu akaanza Kujisifu hapa oooh ni mzee mwenye pesa, ooh hayupo kama kina Haya Land wasio na hela..... nk nk
Leo kaja na jingine Jimbo limechukuliwa, so babu keshaliwa pesa ake hahahaaaa
Sasa tutamsaidiaje