Mwamedi ndiye alizivuruga Africans Lyon na singida united

Mwamedi ndiye alizivuruga Africans Lyon na singida united

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Kama kawaida mpiga madili makini muhindi mwamedi aliyejimilikisha makolo FC na wafuasi wa makolo mambumbu wote ni kama wake wa mwamedi.

Huyu jamaa ndiye aliyeziangusha hizi timu mbili singida united na Africans Lyon Kwa maslahi yake bnafsi kisha akazitelekeza maana alipata dili la kujichukulia makolo FC mpk Leo timu hzo hazjawahi fanikiwa kisa Mo alizifilisi zile timu na anaelekea kuifilisi makolo FC hii hatutakibali Sisi mambumbu mashabiki WA makolo FC tena tunamlia timing tu asfikili hii makolo FC ni kama singida united au Africans Lyon tutakula nae sahani moja.
Maana ingawa Sisi mambumbu makolo hatujuagi kitu zaidi ya kuiongelea yanga humu na kuweka thread humu Kila Saa kuhusu yanga lakini Kwa Hili Sisi mambumbu makolo tunasema mwamedi akae mbali na timu yetu kbs ngoja tuone sasa.

This is makolokolo fc
 
Ndiyo lakini kabla ya mwigulu aliyekuwa na hiyo timu ni Yule tajiri yetu tapeli WA makolokolo fc yetu ndiye alikuwa anaifadhiri akaimalza akahamia Africans Lyon nayo akaifilisi ndo akaja kwetu huku makolo si unajua Sisi ni mambumbu makolo hatujui kitu ndo maana kaja kirahisi sn kwetu Sisi tunajua sana hbr za yanga Tu lakini za makolokolo fc timu yetu hatujui kitu tupo tupo Tu kama matahira sjui mwamedi katufanya misukule Sisi makolo mambumbu.
 
Kuna tofauti kubwa sana ya uwasilishaji wa uzi kati ya shabiki wa Simba na wa Yanga.
nani mwengine ameona iyo tofauti?
Ni kweli kuna Tofauti kubwa maana Sisi mashabiki WA makolokolo fc ni mambumbu makolo tukiwasilisha kitu huwa ni kuhusu yanga Tu lakini wenzetu wako mbali kidogo wao wakileta thread humu huwa ni kuhusu maendeleo ya timu Yao Tu hawana muda na makolokolo fc timu yetu. Si unaona hata Yule binge msemaji wetu jezi amevujisha vunja bei ye anasema yanga ndo wamevujisha huo ndo utofauti.
 
Yanga wana stress sana, hivi kwa nini, mwambieni kocha wenu huko champions league judo haziruhusiwi.
Kweli Wana stress sn Wana yanga wale Ila tatzo Sisi mambumbu makolo hatujui kitu ni kama matahira ya mwamedi Tu stress tutoe wapi zaidi ya kukaa kuzungumza yanga tu
 
Ni kweli kuna Tofauti kubwa maana Sisi mashabiki WA makolokolo fc ni mambumbu makolo tukiwasilisha kitu huwa ni kuhusu yanga Tu lakini wenzetu wako mbali kidogo wao wakileta thread humu huwa ni kuhusu maendeleo ya timu Yao Tu hawana muda na makolokolo fc timu yetu. Si unaona hata Yule binge msemaji wetu jezi amevujisha vunja bei ye anasema yanga ndo wamevujisha huo ndo utofauti.
duh!.basi sawa.
 
Kila nikikumbuka kuwa mtoa mada nyuma kachomekwa mwiko toka 1935 kabla haujachomolewa KAPUMBU nae akazidi kuuingiza ndani naishiwa nguvu ya kumjibu.
Huwezi kujibu kitu maana unawaza Mambo ya kishoga shoga Tu umekalia kutongoza wanaume wakuchomekee mikuyenge unadhan utajibu nn wakati unajitangaza tokea mwaka1935 Una mwiko matakoni sjui basha ako ndo alikuchomekea au vp maana hzo tabia sjaona wanayanga wanazo Ila Sisi mambumbu makolo na ww makolo mwenzangu ndo tunapenda Mambo ya kisenge si unaona sasa ndo maana manara katukimbia tujsahihishe tuachane na ya yanga mwamedi na pisi Kali yake wanaimalza makolokolo fc yetu
 
Sisi makolo fc tusipokuwa makini na mwamedi anajimilikisha timu
 
Na zote zimeshuka daraja. kweli yule jamaa ana kidawa..
Tupambane sasa asje akaishusha na makolokolo fc yetu sasa tatzo Sisi ni mambumbu hata rage anatujua
 
Sisi makolo fc tusipokuwa makini na mwamedi anajimilikisha timu
Kweli mkuu tusimwachie kbs hii makolokolo fc yetu ni jasho letu aisee kikubwa tuache umbumbu makolo kuzungumza timu ya yanga
 
Kabla hata labda hujazaliwa familia ya kina dewj wanaidhamini simba[emoji41]
 
Kuna tofauti kubwa sana ya uwasilishaji wa uzi kati ya shabiki wa Simba na wa Yanga.
nani mwengine ameona iyo tofauti?
Anashindwa kufuatilia timu lake kuwa linajiandaaje kuelejea tarehe 12 wakipigwa na wanaija
 
Back
Top Bottom