EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Kama kawaida mpiga madili makini muhindi mwamedi aliyejimilikisha makolo FC na wafuasi wa makolo mambumbu wote ni kama wake wa mwamedi.
Huyu jamaa ndiye aliyeziangusha hizi timu mbili singida united na Africans Lyon Kwa maslahi yake bnafsi kisha akazitelekeza maana alipata dili la kujichukulia makolo FC mpk Leo timu hzo hazjawahi fanikiwa kisa Mo alizifilisi zile timu na anaelekea kuifilisi makolo FC hii hatutakibali Sisi mambumbu mashabiki WA makolo FC tena tunamlia timing tu asfikili hii makolo FC ni kama singida united au Africans Lyon tutakula nae sahani moja.
Maana ingawa Sisi mambumbu makolo hatujuagi kitu zaidi ya kuiongelea yanga humu na kuweka thread humu Kila Saa kuhusu yanga lakini Kwa Hili Sisi mambumbu makolo tunasema mwamedi akae mbali na timu yetu kbs ngoja tuone sasa.
This is makolokolo fc