Hapa nazungumzia mapenziInategemea kasaliti kwenye nini. Kama kahama Simba kwenda Yanga au Kahama Yanga kwenda Simba huyo anasamehewa.
au kuna yule mwengine alikuwa anakunywa lakini kaacha kunywa huyo anasamehewa tu!
Ndio soma fullKama mtu anataka kubishana juu ya jambo hili, sisi wala makanisa ya Mungu hatutambui desturi nyingine
Ndivyo ilivyoandikwa
Mwanaume ni kawaida kutomb nje
Kwa dunia ya sasa ilivyo anasamehewa tu! Kwani we hujawahi kutomb kwengine?!Hapa nazungumzia mapenzi
Anasemehewa au hasamehewi mwanamke msaliti?Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Unaangalia na hali yako, unaweza amua kumuacha lakini mazingira hayaruhusuWewe ungesemaje hapo mkuu
Anasemehewa au hasamehewi?Ila mwanamke sio binadamu, Hana hisia, Hana moyo wa kuumia
Inafuatana na wewe umeshikwaje masikio 🤭Anasemehewa au hasamehewi mwanamke msaliti?
Okay hapa maana yako Ni kwamba unaumwa alafu yeye ndio msaada kwako Kwa wakati huo kwahiyo kumuacha Ni ngumu.Unaangalia na hali yako, unaweza amua kumuacha lakini mazingira hayaruhusu
Ila wanawake wengine hawapendi uchumi mkuyege tu ukimlewesha kuachana na wewe anatamani ajipige kitanzi kila akikumbuka ile misuguo akili inaruka nani mwingine ataweza kumsugulia km vile?Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Mwanamke akitoka ametoka ila mwanaume akitoka anarudi hawezi kutoka alipoanzisha mwenyewe, inabidi uelewe hapoIla mwanamke sio binadamu, Hana hisia, Hana moyo wa kuumia
sijamaanisha chochote nimefafanua tu,Okay hapa maana yako Ni kwamba unaumwa alafu yeye ndio msaada kwako Kwa wakati huo kwahiyo kumuacha Ni ngumu.
Bora mchizi aishi na maumivu ya usaliti kuliko kumuacha
Maamuzi yapo Kwa mwanaume sasa. Amuache au asimuache ni yeye kupambana Na maumivu ya Moyo wake.Inafuatana na wewe umeshikwaje masikio 🤭
DP yako inaonyesha wewe ni mrembo asee nimekutamaniNdio anasamehewa.
Sawa.DP yako inaonyesha wewe ni mrembo asee nimekutamani
Sawa kivipi tena? mpe mwongozoSawa.