To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu