Mwamke msaliti

Mwamke msaliti

Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
 
Inategemea kasaliti kwenye nini. Kama kahama Simba kwenda Yanga au Kahama Yanga kwenda Simba huyo anasamehewa.
au kuna yule mwengine alikuwa anakunywa lakini kaacha kunywa huyo anasamehewa tu!
Hapa nazungumzia mapenzi
 
Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Anasemehewa au hasamehewi mwanamke msaliti?
 
Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Ila wanawake wengine hawapendi uchumi mkuyege tu ukimlewesha kuachana na wewe anatamani ajipige kitanzi kila akikumbuka ile misuguo akili inaruka nani mwingine ataweza kumsugulia km vile?
 
Okay hapa maana yako Ni kwamba unaumwa alafu yeye ndio msaada kwako Kwa wakati huo kwahiyo kumuacha Ni ngumu.

Bora mchizi aishi na maumivu ya usaliti kuliko kumuacha
sijamaanisha chochote nimefafanua tu,

kwa mwingine hiyo sababu inaweza isitoshe

unajua kwenye maisha kuna vitu ukiamua kufanya ama kutokufanya haupungukiwi chochote

faida za kufanya zinafidia hasara za kutokufanya, faida za kutokufanya zinafidia hasara za kufanya

mwisho wa siku maisha yako hayapotezi chochote, huoni tofauti
 
Back
Top Bottom