ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unalitendea haki jina lakoHuyo ndo mbeba tunguri baada ya feisal kuchomoa betri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalitendea haki jina lakoHuyo ndo mbeba tunguri baada ya feisal kuchomoa betri
Mbona yupo vizuri sana!
umeandika vizuri mnoHuwa situkani mkuu
Binafsi naona we ndie umetawaliwa na chuki mleta mada kaelezea uchezaji wake ambao umekuwa na mapungufu hivi karibuniUmetaja mechi nne alizocheza vibaya, je vipi kuhusu mechi nyingine??? Mzani unaelekea wapi?? Wewe mambo yako yote hunyooka?
Nafikiri unasumbuliwa na hiki:
chuki
/t∫uki/
tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya.