Mwamnyeto ni tatizo Yanga sc 2023/2024

Mwamnyeto ni tatizo Yanga sc 2023/2024

Umetaja mechi nne alizocheza vibaya, je vipi kuhusu mechi nyingine??? Mzani unaelekea wapi?? Wewe mambo yako yote hunyooka?

Nafikiri unasumbuliwa na hiki:

chuki

/t∫uki/

tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya.

Binafsi naona we ndie umetawaliwa na chuki mleta mada kaelezea uchezaji wake ambao umekuwa na mapungufu hivi karibuni
Huyu sio captain aliewazima kabisa wa Nigeria pale kwao (Rivers) inabidi afanyie kazi mapungufu yake
 
Back
Top Bottom