Mwamnyeto ni tatizo Yanga sc 2023/2024

Mwamnyeto ni tatizo Yanga sc 2023/2024

Bakari ana 28 katimiza juzi tu hapo, yupo kwenye umri mzuri kisoka.
Uzuri mpira ni mchezo wa wazi.hata ukidanganya umri.mbio na kasi vitakuumbua.na ndicho kinachomtokea bakari nondo.
 
Bakari ana 28 katimiza juzi tu hapo, yupo kwenye umri mzuri kisoka.
Hiyo ni miaka ya passport, anyway kama ni umri mzuri kisoka mbona amechoka kama kuli wa mabibo sokoni? tangu afcon imalizike kwa upande wa Tz ni zaidi ya wiki mbili, mechi za ligi nyingi muhimu anawekwa benchi, mim nafikiri ni fair tukisema ameshuka kiwango na ajitafakari
 
Hii tayari nikiashiria cha kuwa wewe hufuatilii mpira, huyo mwamnyeto ameanza mechi chache sana
Tatizo lako unataka tukubaliane na mtizamo wako finyu na wa kishamba! Hata wajinga nao hufuatilia mpira!

Eti mechi nne halafu tukubaliane na wewe????????
 
Tatizo lako unataka tukubaliane na mtizamo wako finyu na wa kishamba! Hata wajinga nao hufuatilia mpira!

Eti mechi nne halafu tukubaliane na wewe????????
Finyu na kishamba? Nani kakulazimisha? Low life!
 
Kiukweli mwenyeto ni muongo muongo sana

Games za Taifa Star kule Afcon jamaa alikua anacheza aerials kwa woga na kijanja janja sana

Hata leo amezingua sana

Halafu Mwandishi wa Azam anashindwa kumuhoji maswali ya msingi anajikanyaga tu
🚀
 
Kila Siku Najiuliza Kwanini Mwamnyeto Anapoteza Kujiamini Katika Nafasi Yake Maana Makocha Wengi Wamamuamini Sana Hadi Timu Ya Taifa Anaaminiwa.


Inabidi Aongee Vizuri Na Dickson Job Kuongezewa Confidence.

Kila La Kheri Dar Young Africans Kwa Ushindi Mwingine Wa 2023/2024
Labda kwenye mazoezi yuko vizuri zaidi ila kwenye mechi anapata presha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi bila kumtaja Kilaza METACHA haujakamilika.
 
Back
Top Bottom