BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa wananchi, Huu mchezo wa kutoa kipaumbele kwa wenye fedha sio sawa.