Ni kweli hata bank huwa hazifungwi saa 10.30 ukiwa na pesaAilavyuuuuu....... Aailavyuu tuu....... Hii nchi ukijua kucheza karata zako unaishi vizuri
🤣🤣🤣Huyo tayari ni mtumisji wa umma anawahi kuhudumia jamii vumilieni..si huwa mnampelekea mapepo yenu awaombee??😂😂
Tafuta pesa itakubalika tu mkuuHii haikubaliki
Mbona hili dili linapigwa kila siku na wenye hela ya kuwapa hao traffic.
Yaani watu wakawaida mno wana namba za matrafic kila junction, anapiga tu simu, nakuja huko, mara vaap, mmesimamishwa , halafu baada ya muda mnaona gari ya kawaida inapita inawakawaka zile taa za wamachinga....