Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.