Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Fadhila?! Kulala hotel hiyo ni bure? Hawa jamaa hufanya biashara za madawa kwa mgongo wa kanisa, wakiulizwa pesa umepata wapi wanakwambia ni sadaka, na sadaka haitangazwi wala kulipiwa kodi, utakatishaji mkubwa wa pesa.
 
Utakatishaji wa pesa haramu. Hakuna sadaka ya nsmna hiyo aliyokusanya.
 
Hana haja ya kununua maji kiwandani ajenge kiwanda chake cha maji, chumvi, mafuta mbona market anayo ya kutosha tayari
 
Huyu anajua kucheza na wakati anajua atachuja anawashauri wazuri sana hongera yake sana Mungu akupe miaka mingi...
 
Kweli utajiri unahitaj vyanzo ving vya mapato

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kakobe yeye anaishi zake Canada
Nyie huku endeleeni kumkusanyia
Sadaka [emoji1]

Ova
 
H
Hela kapata wapi?wakati hafanyi biashara?
 
Safi Sana, wacha wajinga waliwe tapeli litajirike
 
Kuna keki ya upako hapo hotelini?
 
Nijuze kuhusu mtaji unaotakiwa kufungua kanisa! Najua kitu cha kwanza ni kuwa na maneno mazuri ya kuvutia ili kuwapumbaza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…