Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Iko waziSerikali inamchukuliaMwamposa kama mshirika wake kwenye utawala kwa kuwa anasaidia kuwapumbaza maskini ili CCM iwatawale vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko waziSerikali inamchukuliaMwamposa kama mshirika wake kwenye utawala kwa kuwa anasaidia kuwapumbaza maskini ili CCM iwatawale vizuri.
Maswali ni mengi sana sio hilo tu mkuu. Hivi ni kwanini miujiza ya Mwamposa inahusu watu kujisaidia nyoka, minyoo, jongoo, mende, nge na kufa kwa paka, panya, vyura, vinyonga na wanyama wengine kama hao. Hivi mtu hawezi kupata ukombozi hivi hivi pasipo kutokewa na miujiza ya hawa wanyama na wadudu? Sijawahi kusikia ushuhuda wa waumini wa Mwamposa unaoenda mbali na hivi vimbwanga.Hivi kwa nini waumini wa mitume na manabii ni masikini kiuchumi, kiakili na kiroho.?