Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

Kumbe Hadi karatasi zinauzwa
 
Mbona hili andiko kama lilikuwa maalumu kwajili ya kujitambusha kama huna tv mkuu😄😄
 
Wingi wa watu kwenye sehemu kama hizo ni kipimo cha ugumu wa Maisha
Na kipimo Cha Ujinga wa akili pia. Mtu anaamini Economical Problems kama umasikini au biological problems kama ugonjwa can be solved by Spiritual ways.

Yaani unaumwa Malaria, unaamini kua Mwamposa akiwaambia wale wadudu kufa wanakufa kweli. Ujinga uliopitiliza huu.
 
USIRUDIE HUO UJINGA HII ILIKUWA CHANCE YA KUPUNGUZA MAZOMBIE,UMEINGILIA KAZI YA NATURE WEWE ULICHOFANYA NI SAWA UWENDE KULE SERENGETI UWONE SIMBA ANAWINDA NA KUKAMATA NYUMBU THEN UINGILIE HUO MPANGILIO WA KIMAISHA😭😭😭NDUGU YANGU IOMBE NATURE MSAMAA MAANA UMEINGILIA KAZI YAKE.

KISAYANSI UKIINGILIA MPANGILIO WA KIMAISHA KUNA COME BACK KWASABABU HII DUNIA HAKUNA KINACHOPOTEA HIVIHIVI, HIVYO TARAJIA PAY BACK AMBAYO ITAKUWA SIO NZURI KWAKUA WEWE KWA KIHEREHERE CHAKO NA KUKOSA MAARIFA UMEIOKOA HIYO ZOMBIE/ NYUMBU.

NEWTON law " TO EVERY ACTION, THERE IS EQUAL AND OPOSITE REACTION"

MFANO MWINGINE NI HUU ENDAPO HAWA WAZUNGU WANAVYOTUPA MISAADA HUKU NCHI MASKINI IMAGINE MPAKA MSAADA WA KUCHIMBA VYOO😄😄😄.

SASA KAMA WAZUNGU HAWA SIKU WAKIACHA KUINTERFERE NATURE KWA KUTUPA MISAADA NA MIKOPO NA WAKAACHA NATURE ITAKE ITS COURSE HII NDIO KIPINDI AMBAPO "SURVIVAL OF THE FITTEST" ITALAZIMISHA WAAFRICA KUACHA KUNUNUA MAVIEITI NA KUFANYA UFISADI BALI CHAOS ITAKAYOTOKANA NA NJAA NA MAGONJWA PLUS VIFO VINGI, HAPO ITAFANYA JAMII ZA KIAFRICA KUANZA KUISHI KWA KUTUMIA AKILI NA SIO KAMA SAIVI WATAWALA WANAPEWA HELA ZA MISAADA WANAJISAHAU.

WANANCHI WATAACHA KUWAZA MIUJIZA WATAHOJI VIONGOZI NA VIONGOZI WATAKUWA WAWAJIBIKAJI MAANA TAWALA ZITAKUWA ZINAANGUSHWA KILA MARA.

HII NDO SOLUTION PEKEE YA KUTOKA KWENYE UZOMBIE( UJINGA), KUTOKA KUWA HALF ANIMAL HALF HUMAN NA KUWA HUMAN KAMILI!!!
 
Tapeli huyo asubiri tupate rais mwenye akili atafunga biashara yake kwa sasa amekaa na uongozi wa kizombi
Kumbe Hadi karatasi zinauzwa
Kwa mnada
 

Ulikua mjanja sana usinge mwambia ukweli ungeshangaa siku Moja unatolewa ushuhuda kwa mwamposa unatajwa na jina lako.. kueni makini Sana na watu wanaosali hapo
 
Walianza Kwa Kakobe, Mwingira, Rwakarate, Mwakasege, Mzee wa upako bado hawajakipata wanachokitafuta?
Wa mwanzo kabisa alikuwa Moses Kulola.Huyo alianza miaka ya mwanzo kabisa ya uhuru.Watanzania tuna utayari mkubwa mno wa kuhadaika.Kama hata yule mzee wa kijijini kabisa Samunge alifanikiwa kuwatapeli watanzania na wana afrika mashariki wengi.
 
Baada ya kusoma hiki ulichowapa wakamalizie na Isaya 14 : 10 - 15
 
Hapo kwenye nyomii lake kina kila dinii unayoijuaa wewe!.. people get healed!... Mwamba ameshika spiritual world!
Usingepost hapa hata nisingejua kulikuwa na mkutano huo. Sasa kaishikaje spiritual world
 
Brother umechanganyikiwa au?
Unamfananisha mwamposa na pope mwenye wafuasi anaowaongoza zaidi ya bilioni 1?

unamfananisha mwamposa na trump? ambaye dunia nzima inamjua? mwamposa anajulikana wapi nnje ya tanzania? ambaye hata wafuasi hawajafika mil 5?

Kwa taarifa yako mfano Mwingira tu anamakanisa kibao tanzania ,ukichukua waumini wake wote wanazidi ya hao ambao wanasehemu moja tu ambayo ni kawe.

pia kuna makanisa nigeria ambayo ibada moja tu wanazidi hao watu waliopo kawe

ACHA PROMO ZISIZO NA UHALISIA
 

wengine hawa hapa

Your browser is not able to display this video.
 
Hapo Kuna mtu zimeenda kukesha Zina pesa kuliko ukoo wako wote,,,one day pita parking Yao uone ukidelay na ki IST chako hupat sehem ya kupaki!.
Aseee! Umejua kumkomesha. Uzi sasa ufungwe. ^CHAKO NI CHAKO!^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…