Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

Kumbe Hadi karatasi zinauzwa
Pesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.
Amewekeza Pesa lazima irudi maana
1. Sadaka
2.Maji
3.Mafuta
4.Zaka
5.Sadaka ya Kujimaliza
6.Vipeperushi
7.Karatasi ya kuandika maombi.
8.Shukrani.
Note: Hizo zote ni Njia za kuingiza Pesa. Huyo jamaa ni Bilionea, Mi Binafsi namsifu ametumia akili Sana kuteka Akili na Hisia za watu, watu wanatoa Pesa kwa hiyali yao Yeye anakua Tajiri maradufu.
Kiuhalisia Jamaa ni Bilionea.
Hongera, Hongera,Hongera Hii Akili safi sana Unakula Pesa kwa Maiki na Sautii.... imeishaaa hiyooooo
 
Amani kwenu watumishi

Huyu mwamposa kashindikana

Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine

Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa

Hata Trump hamuwezi huyu jamaa

Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU

Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu

Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu

Asanten sana
Mbona hili andiko kama lilikuwa maalumu kwajili ya kujitambusha kama huna tv mkuu😄😄
 
Wingi wa watu kwenye sehemu kama hizo ni kipimo cha ugumu wa Maisha
Na kipimo Cha Ujinga wa akili pia. Mtu anaamini Economical Problems kama umasikini au biological problems kama ugonjwa can be solved by Spiritual ways.

Yaani unaumwa Malaria, unaamini kua Mwamposa akiwaambia wale wadudu kufa wanakufa kweli. Ujinga uliopitiliza huu.
 
Mwakajana, mwingine alisafiri toka huko kusini mpaka Dar kuhudhuria hiyo mikutano ya huyo bwana ili aondokane na umaskini, akatoa sadaka ya kutaka kuondokana na umaskini.

Katikati ya mwaka huu baada ya kuhangaika sana na kushindwa kuona mwanga, huku mwanae akiwa amekwama hata kwenda chuo cha serikali, akaishia kuwa omba omba. Nikampa ukweli wake kuwa tatizo la wao wajinga, ukimsaidia, kwa ujinga ule ule ataamini eti wewe kumsaidia ni kwa sababu ya maombi ya Mwamposa! Nikamwambia, namsaidia mwanae aende chuo, lakini aende akafanye kazi, asipoteze muda na pesa kwenye vitu vya kufikirika. Akashukuru na kuishia kwenye kilimo cha maharage kwa kutumia mikono yake.
USIRUDIE HUO UJINGA HII ILIKUWA CHANCE YA KUPUNGUZA MAZOMBIE,UMEINGILIA KAZI YA NATURE WEWE ULICHOFANYA NI SAWA UWENDE KULE SERENGETI UWONE SIMBA ANAWINDA NA KUKAMATA NYUMBU THEN UINGILIE HUO MPANGILIO WA KIMAISHA😭😭😭NDUGU YANGU IOMBE NATURE MSAMAA MAANA UMEINGILIA KAZI YAKE.

KISAYANSI UKIINGILIA MPANGILIO WA KIMAISHA KUNA COME BACK KWASABABU HII DUNIA HAKUNA KINACHOPOTEA HIVIHIVI, HIVYO TARAJIA PAY BACK AMBAYO ITAKUWA SIO NZURI KWAKUA WEWE KWA KIHEREHERE CHAKO NA KUKOSA MAARIFA UMEIOKOA HIYO ZOMBIE/ NYUMBU.

NEWTON law " TO EVERY ACTION, THERE IS EQUAL AND OPOSITE REACTION"

MFANO MWINGINE NI HUU ENDAPO HAWA WAZUNGU WANAVYOTUPA MISAADA HUKU NCHI MASKINI IMAGINE MPAKA MSAADA WA KUCHIMBA VYOO😄😄😄.

SASA KAMA WAZUNGU HAWA SIKU WAKIACHA KUINTERFERE NATURE KWA KUTUPA MISAADA NA MIKOPO NA WAKAACHA NATURE ITAKE ITS COURSE HII NDIO KIPINDI AMBAPO "SURVIVAL OF THE FITTEST" ITALAZIMISHA WAAFRICA KUACHA KUNUNUA MAVIEITI NA KUFANYA UFISADI BALI CHAOS ITAKAYOTOKANA NA NJAA NA MAGONJWA PLUS VIFO VINGI, HAPO ITAFANYA JAMII ZA KIAFRICA KUANZA KUISHI KWA KUTUMIA AKILI NA SIO KAMA SAIVI WATAWALA WANAPEWA HELA ZA MISAADA WANAJISAHAU.

WANANCHI WATAACHA KUWAZA MIUJIZA WATAHOJI VIONGOZI NA VIONGOZI WATAKUWA WAWAJIBIKAJI MAANA TAWALA ZITAKUWA ZINAANGUSHWA KILA MARA.

HII NDO SOLUTION PEKEE YA KUTOKA KWENYE UZOMBIE( UJINGA), KUTOKA KUWA HALF ANIMAL HALF HUMAN NA KUWA HUMAN KAMILI!!!
 
Pesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.
Amewekeza Pesa lazima irudi maana
1. Sadaka
2.Maji
3.Mafuta
4.Zaka
5.Sadaka ya Kujimaliza
6.Vipeperushi
7.Karatasi ya kuandika maombi.
8.Shukrani.
Note: Hizo zote ni Njia za kuingiza Pesa. Huyo jamaa ni Bilionea, Mi Binafsi namsifu ametumia akili Sana kuteka Akili na Hisia za watu, watu wanatoa Pesa kwa hiyali yao Yeye anakua Tajiri maradufu.
Kiuhalisia Jamaa ni Bilionea.
Hongera, Hongera,Hongera Hii Akili safi sana Unakula Pesa kwa Maiki na Sautii.... imeishaaa hiyooooo
Tapeli huyo asubiri tupate rais mwenye akili atafunga biashara yake kwa sasa amekaa na uongozi wa kizombi
Kumbe Hadi karatasi zinauzwa
Kwa mnada
 
Mwakajana, mwingine alisafiri toka huko kusini mpaka Dar kuhudhuria hiyo mikutano ya huyo bwana ili aondokane na umaskini, akatoa sadaka ya kutaka kuondokana na umaskini.

Katikati ya mwaka huu baada ya kuhangaika sana na kushindwa kuona mwanga, huku mwanae akiwa amekwama hata kwenda chuo cha serikali, akaishia kuwa omba omba. Nikampa ukweli wake kuwa tatizo la wao wajinga, ukimsaidia, kwa ujinga ule ule ataamini eti wewe kumsaidia ni kwa sababu ya maombi ya Mwamposa! Nikamwambia, namsaidia mwanae aende chuo, lakini aende akafanye kazi, asipoteze muda na pesa kwenye vitu vya kufikirika. Akashukuru na kuishia kwenye kilimo cha maharage kwa kutumia mikono yake.

Ulikua mjanja sana usinge mwambia ukweli ungeshangaa siku Moja unatolewa ushuhuda kwa mwamposa unatajwa na jina lako.. kueni makini Sana na watu wanaosali hapo
 
Walianza Kwa Kakobe, Mwingira, Rwakarate, Mwakasege, Mzee wa upako bado hawajakipata wanachokitafuta?
Wa mwanzo kabisa alikuwa Moses Kulola.Huyo alianza miaka ya mwanzo kabisa ya uhuru.Watanzania tuna utayari mkubwa mno wa kuhadaika.Kama hata yule mzee wa kijijini kabisa Samunge alifanikiwa kuwatapeli watanzania na wana afrika mashariki wengi.
 
Sasa mlijua shetan Kuna siku mtamuona kwa sura ipi?, ama humu Kuna mtu ambaye anaweza kutuambia shetani Yuko vipi?, au hata dini zenu ziliwaambia shetani atajifunua vipi??,

yaani shetani yule aliyewapotosha watakatifu wa kale, aliyewatikisa mpaka manabii na mitume then aje ashindwe na mtu wa zama hizi ambazo zimejawa uozo Kila mahala?

Shetani ndiye huyo huyo mnaemkimbilia huko ktk makongamano yenu ya kidini.

Shetani ndiye huyo huyo anayehubiliwa makanisani+misikitini na haswa ktk makongamano na mikusanyiko kama hiyo hapo ndipo mahala shetan anaketi kusujudiwa na wapumbavu waliokataa kutumia akili Bali hisia walizopandikizwa na mafundisho ya Uongo.

Ni huzuni sana maana shetani ktk kizazi hiki anaabudiwa adharani kabisa huku watu wakijinasibu kumuabudu kwa shangwe, mbwembwe na Kila aina ya nyimbo+mapambio.

Angalau basi tuna wasomi wengi ambao wangeweza kuchanganua mambo na kutofautisha ukweli na uongozi lkn nao wamekwama huko huko wameshadakwa wanaamini upuuzi na Ushenzi wa hao mitume Wahuni na wapiga ramli.
Baada ya kusoma hiki ulichowapa wakamalizie na Isaya 14 : 10 - 15
 
Hapo kwenye nyomii lake kina kila dinii unayoijuaa wewe!.. people get healed!... Mwamba ameshika spiritual world!
Usingepost hapa hata nisingejua kulikuwa na mkutano huo. Sasa kaishikaje spiritual world
 
Amani kwenu watumishi

Huyu mwamposa kashindikana

Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine

Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa

Hata Trump hamuwezi huyu jamaa

Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU

Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu

Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu

Asanten sana
Brother umechanganyikiwa au?
Unamfananisha mwamposa na pope mwenye wafuasi anaowaongoza zaidi ya bilioni 1?

unamfananisha mwamposa na trump? ambaye dunia nzima inamjua? mwamposa anajulikana wapi nnje ya tanzania? ambaye hata wafuasi hawajafika mil 5?

Kwa taarifa yako mfano Mwingira tu anamakanisa kibao tanzania ,ukichukua waumini wake wote wanazidi ya hao ambao wanasehemu moja tu ambayo ni kawe.

pia kuna makanisa nigeria ambayo ibada moja tu wanazidi hao watu waliopo kawe

ACHA PROMO ZISIZO NA UHALISIA
 
Pesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.
Amewekeza Pesa lazima irudi maana
1. Sadaka
2.Maji
3.Mafuta
4.Zaka
5.Sadaka ya Kujimaliza
6.Vipeperushi
7.Karatasi ya kuandika maombi.
8.Shukrani.
Note: Hizo zote ni Njia za kuingiza Pesa. Huyo jamaa ni Bilionea, Mi Binafsi namsifu ametumia akili Sana kuteka Akili na Hisia za watu, watu wanatoa Pesa kwa hiyali yao Yeye anakua Tajiri maradufu.
Kiuhalisia Jamaa ni Bilionea.
Hongera, Hongera,Hongera Hii Akili safi sana Unakula Pesa kwa Maiki na Sautii.... imeishaaa hiyooooo

wengine hawa hapa

Hapo Kuna mtu zimeenda kukesha Zina pesa kuliko ukoo wako wote,,,one day pita parking Yao uone ukidelay na ki IST chako hupat sehem ya kupaki!.
Aseee! Umejua kumkomesha. Uzi sasa ufungwe. ^CHAKO NI CHAKO!^
 
Back
Top Bottom