Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kumbe Hadi karatasi zinauzwa
Pesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.
Amewekeza Pesa lazima irudi maana
1. Sadaka
2.Maji
3.Mafuta
4.Zaka
5.Sadaka ya Kujimaliza
6.Vipeperushi
7.Karatasi ya kuandika maombi.
8.Shukrani.
Note: Hizo zote ni Njia za kuingiza Pesa. Huyo jamaa ni Bilionea, Mi Binafsi namsifu ametumia akili Sana kuteka Akili na Hisia za watu, watu wanatoa Pesa kwa hiyali yao Yeye anakua Tajiri maradufu.
Kiuhalisia Jamaa ni Bilionea.
Hongera, Hongera,Hongera Hii Akili safi sana Unakula Pesa kwa Maiki na Sautii.... imeishaaa hiyooooo