King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaAloo hizi dini zimekuwa shida sana hapa bongo.
Serikali inabidi iingilie kati.. inafanya watanzania kuwa wavivu wakufikiri. Alafu kwa uvivu huu wa kutumia akili kweli bado watz mnajipa matumaini ya kwenda mbinguni 🤣🤣🤣🤣🤣
Shenz type watz wote motoni hamna akili msije mkanajis mbingu bure
Si atatoa sadaka mkeka ukishatiki, mfano M400 atakata zake 100M
Si atatoa sadaka mkeka ukishatiki, mfano M400 atakata zake 100M
Hahaha sawaSasa si inabidi aanze kupanda mbegu? Ikitiki ndiyo ataoa fungu la kumi.
😅 Mademu hawana tofauti.. kuanzia mwezi wa kumi na moja, huwa tunaanzisha migogoro isiyo na solution, hadi unapo Isha mwezi wa pili , ndio tunarudiana.. tunahakikisha November Hadi February hakuna amani kwenye mahusiano.. hata kuomba mia anaogopaAh mze wa mamtoni....mambo vipi? Ah wee mademu wa bongo kwa huu mwezi usiwaguse kabisa utafirisika.
Vipi huko mamtoni, ladies wa kiblack america nao wanapiga vibomu mwezi wa dcember ?
Ingekua hivyo mbona jackpot zingekua hazilalaliKuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
🤣🤣🤣🤣 Sasa mbunye mnapewa lakini au hiyo ndio miezi ya kukumbuka mlenda vugivugu😅 Mademu hawana tofauti.. kuanzia mwezi wa kumi na moja, huwa tunaanzisha migogoro isiyo na solution, hadi unapo Isha mwezi wa pili , ndio tunarudiana.. tunahakikisha November Hadi February hakuna amani kwenye mahusiano.. hata kuomba mia anaogopa
😅😅 Kula mbunye siku hizi ni kama kupumua tu ( tunapumua Bure ujue ).. huitaji kutoa hela kula.. sema tunawapa hela kama motisha tu.. kadri siku zinavyo enda tujianda kubakwa au kumla manzi nae anakupa hela🤣🤣🤣🤣 Sasa mbunye mnapewa lakini au hiyo ndio miezi ya kukumbuka mlenda vugivugu
kwa nini usiende wewe😂Fika Kwa Mtume chukua mafuta na maji ya upako
Kabla ya kubet kunywa nusu glass ya maji
Chukua kalamu utakayochorea mkeka paka mafuta ya upako
Paka kidogo kwenye uso na nyao
Usisahau kutoa sadaka ya kujimaliza
Utaona muujiza wako
Usimshirikishe Mungu na mambo ya kipumbavu.Sadaka baada ya mikeka yote kutiki, atapata 5%
KANJI harogeki KANJI hadanganyiki🤣🤣🤣🤣Fika Kwa Mtume chukua mafuta na maji ya upako
Kabla ya kubet kunywa nusu glass ya maji
Chukua kalamu utakayochorea mkeka paka mafuta ya upako
Paka kidogo kwenye uso na nyao
Usisahau kutoa sadaka ya kujimaliza
Utaona muujiza wako