Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.