Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Matapeli hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli pia ni kipaji,ila wengine pia wana dawa ya kuwapumbaza watu.Na wewe jaribu uone kama watu wanatapelika kirahisi
Raha ya Ngoma ingia ucheze ndio utajua kama ni Rahisi kutapeli watu au la
Anzisha na wewe kituo chako Cha utapeli upige Hela kama unadhani ni rahisi
Ni kama kuona kinyonga amebadilika kuwa rangi nyekundu au bluu.Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
We we unashindwa mini kuombea wat u🙄🙄🙄 muacheni mwamposa,MB on a mashehe wako hawajawahi kufanya hayo??!! Mimi sisali kwa mwamposa ila ukweli usemweMwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
Kabisa lo dini ishageuka biashara sikuhizi