Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Tapeli tuu hawezi loloteMwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya kinondoni akishindwa kifufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
Kichekesho hiki!Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya kinondoni akishindwa kifufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
Na wewe jaribu uone kama watu wanatapelika kirahisiTapeli tuu hawezi lolote
Unajua maana ya Imani?Wale wana imani kwamba mwamposa hata waponya hao walioenda hospital wana imani wataponea huko kupona inaanza imani.
Hata Yesu ili upone alihitaji imani yako kwanza.
Anayeponya ni Yesu, Mwamposa ni chombo tu. Yesu asipokuponya huponiMwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya kinondoni akishindwa kifufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
Sahihi.Anayeponya ni Yesu, Mwamposa ni chombo tu. Yesu asipokuponya huponi
Hana Dini lini umemsikia yeye ni wa Dini fulani?Mwamposya anatumiwa sana na Mungu sababu Hana majivuno ya kidini kuwa kadini kangu kazuri Wala haisemi vibaya dini ya Mtu Wala kiongozi mwingine wa dini yeyote au wa serikali na muda mwingi huutumia Kwa maombi na kuhufumia wenye shida Sio kushinda vikao vya kidini au kukaa Bure bila Cha kufanya akisubiri siku ya ibada
Muda mwingi anakuwa na muda na Mungu sio binadamu
Mhuuuu Kuna mtu katapeliwa?Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza na akili finyu za watu.
Kwahiyo kinachoponya ni Imani na sio mtu Kuna haja gani ya kuelekeza Imani yako kwa mtu ikiwa hana impact yoyote katika uponyaji?Wale wana imani kwamba Mwamposa hata waponya hao walioenda hospital wana imani wataponea huko kupona inaanza imani.
Hata Yesu ili upone alihitaji imani yako kwanza.