Mwamposa apelekwe Ocean Road awaombee wagonjwa, Gwajima apelekwe Makaburi ya Kinondoni afufue wafu

Na wewe jaribu uone kama watu wanatapelika kirahisi

Raha ya Ngoma ingia ucheze ndio utajua kama ni Rahisi kutapeli watu au la

Anzisha na wewe kituo chako Cha utapeli upige Hela kama unadhani ni rahisi
Utapeli pia ni kipaji,ila wengine pia wana dawa ya kuwapumbaza watu.
Ndio maana wale misukule wanaopeleka hela kila siku ukitaka kuwashtua waamke wasiendelee kupeleka hela wanakuwa wakali na wanakuona wewe ndio mchawi
 
Ni kama kuona kinyonga amebadilika kuwa rangi nyekundu au bluu.
 
We we unashindwa mini kuombea wat uπŸ™„πŸ™„πŸ™„ muacheni mwamposa,MB on a mashehe wako hawajawahi kufanya hayo??!! Mimi sisali kwa mwamposa ila ukweli usemwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…