KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #21
Wafafanulie waeleweUlimwengu wa roho ukiamua unalindwa kwa gharama zote. Ila utimize masharti yao.
Alijificha wapi huko ambako serikali haifiki?Kilichofanya akimbie kwenda kujificha ni nini...mbona unakua kama zoba mwanangu
Wee ukiwa bar unakuwa unatapeliwa?Kama mafuta anatoa bure basi ni nitakubaliana na wewe ila kama anawauzia basi nyie na wale waendao kwa waganga hamna tofauti
Kila mtu ashinde mechi zake. Mi nashinda za kwa Mwamposa, wewe shinda za BarWajinga hawaishi wanazaliwa kila siku
Kuna wenye IQ ndogo kama walevi na wazinzi?Wafuasi wengi wa hawa manabii wanakua na IQ ndogo
Hata mimi nawaona wazinzi na walevi ni wapumbavu kwelikweliOneni mpumbavu huyu!!
Makafara hufanywa kwa usiri mkubwa na makafara hayafanywi mchana kweupeNikuulize kitu.
Je, ukitoa kafara unainuka zaidi au unaanguka zaidi?
Kwani makafara ya wajinga kuna haja ya kufanyika gizani?Makafara hufanywa kwa usiri mkubwa na makafara hayafanywi mchana kweupe
Kwa hiyo serikali iliridhia?Kwani makafara ya wajinga kuna haja ya kufanyika gizani?
Muulize,we si ndio chawa mkuu. Nabii akakimbia eneo la tukio usiku usiku bila aibu yani badala abaki kusaidia waumini wake. Bado wewe siku akikukimbia utaelewaAlijificha wapi huko ambako serikali haifiki?
Kila mtu ashinde mechi zake. Mi nashinda za kwa Mwamposa, wewe shinda za Bar
Umeshatoa sadaka ya kujimaliza?Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa
Nabii mtume mwamposa kutoka nyanda za juu kusini🤣🙌Oneni mpumbavu huyu!!
Yuko wapi Kakobe?Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.