Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Wewe ni mjinga na mpumbavu.
Mungu si Mungu wa hasara,.
Mtume Paul alipokuwa akihubiri kijana mmoja alianguka toka ghorofani akafa lakini Paul alimfufua kisha akaendelea kuhubiri Injili.
Injili ya Yesu haina hasara na vifo vya kipumbavu.
Soma Matendo 20:9-11.
Amkeni enyi wajinga
 
Wajinga ndio waliwao, sasa hivi amekuja na sadaka ya kujimaliza, watu wanazidi kuibiwa yeye ndio anazidi kufanikiwa muhuni tu yule kama wahuni wrngine
 
Yaani ndo uwezo wako wa kung'amua vitu umeishia hapo Hadi unaanzisha Uzi wenye title kama hii, hata hiyo ID name haikufai.
Nawasilisha❗
 
Back
Top Bottom