Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
๐๐๐๐Jamaa Wana wazimu sana akili hawana kabisa .eti mtumeNabii mtume mwamposa kutoka nyanda za juu kusini๐คฃ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐Jamaa Wana wazimu sana akili hawana kabisa .eti mtume
hujui ulichoandikaHata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Weee kakutapeli nini?
Likewisehujui ulichoandika
Sifa ya mtume kwani lazima awe anabaka vibinti vya miaka 8?๐๐๐๐Jamaa Wana wazimu sana akili hawana kabisa .eti mtume
Alikimbilia wapi?Muulize,we si ndio chawa mkuu. Nabii akakimbia eneo la tukio usiku usiku bila aibu yani badala abaki kusaidia waumini wake. Bado wewe siku akikukimbia utaelewa
Nipe kifungu kutoka kwenye Biblia kinachosema ni marufuku watu kufa kwenye nyumba ya BWANA.Wewe ni mjinga na mpumbavu.
Mungu si Mungu wa hasara,.
Mtume Paul alipokuwa akihubiri kijana mmoja alianguka toka ghorofani akafa lakini Paul alimfufua kisha akaendelea kuhubiri Injili.
Injili ya Yesu haina hasara na vifo vya kipumbavu.
Soma Matendo 20:9-11.
Amkeni enyi wajinga
๐๐๐๐Sifa ya mtume kwani lazima awe anabaka vibinti vya miaka 8?
yesu aliwalisha watu 5000 kwa samaki wa wili , nyie watu 10000 mnamlisha mtu mmoja kwa samaki 10000 , mnaangamizwa kwa kukosa maarifa.Hata mimi nawaona wazinzi na walevi ni wapumbavu kwelikweli
Biblia katika waefeso inesema kuwa tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii.Nipe kifungu kutoka kwenye Biblia kinachosema ni marufuku watu kufa kwenye nyumba ya BWANA.
Unaowaita wapinga kristo wanasoma biblia kuliko wewe juha unayetetea ugali.Jihadhari na manabii wa uongo ingawa wananguvu.Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Hamna nilipoandika kutapeliwaWee ukiwa bar unakuwa unatapeliwa?
yesu aliwalisha watu 5000 kwa samaki wa wili , nyie watu 10000 mnamlisha mtu mmoja kwa samaki 10000 , mnaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?
Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Yesu alichanganya mate na udongo akamponya kipofu
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi
Hata Yesu alihudimiwa