Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
hujui ulichoandika
 
Muulize,we si ndio chawa mkuu. Nabii akakimbia eneo la tukio usiku usiku bila aibu yani badala abaki kusaidia waumini wake. Bado wewe siku akikukimbia utaelewa
Alikimbilia wapi?
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu.
Mungu si Mungu wa hasara,.
Mtume Paul alipokuwa akihubiri kijana mmoja alianguka toka ghorofani akafa lakini Paul alimfufua kisha akaendelea kuhubiri Injili.
Injili ya Yesu haina hasara na vifo vya kipumbavu.
Soma Matendo 20:9-11.
Amkeni enyi wajinga
Nipe kifungu kutoka kwenye Biblia kinachosema ni marufuku watu kufa kwenye nyumba ya BWANA.
 
Biblia katika waefeso inesema kuwa tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii.
Na Mtume mkuu Paul ndio kielelezo kikuu ambaye katika Injili aliyoihibiri alimfufua aliyekufa kwenye mhadhara wake.
Screenshot_20221110-064422_1.jpg

Halafu rejea na Matendo 20: 9-11
Siku utakapokubali akili yako ijawe nuru ya Kristo utakombolewa nafsi, yako, mwili wako na roho yako
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Unaowaita wapinga kristo wanasoma biblia kuliko wewe juha unayetetea ugali.Jihadhari na manabii wa uongo ingawa wananguvu.
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.

Mimi nilidhani angehaurisha mkutano kutokana na ajali iliyotokea bukoba.
 
Yesu alichanganya mate na udongo akamponya kipofu

Acheni dharau ya kumlinganisha Mwamposa na Yesu Kristo. Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kujificha kwa Yesu Kristo. Tofautisha mafundisho na mafunuo. Yesu alitumia udongo na mate Mara moja tu, ila nabii wako Mwamposa anatumia mafuta na maji kila siku.
 
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi

Hata Mwamposa Ni mganga. Unanyunyuzia maji kwenye nyumba, ukiamka asubuhi unakuta yamekufa mabundi na mapaka mengi. Huo sio uganga?
 
Nyie mbona mnajimaliza kwa waganga? Mara zote wanaomizwa na matoleo ni nyie ambao wala hamsali, na mnaabudu mashetani. Huko kwenu mnatoa makafara ya damu za watu na hamfanikiwi

Hao kutoa sadaka kwa waganga hakuhalalishi yale anayofanya Mwamposa. Mwingine akiua haihalalishi na wewe kuua.
 
Back
Top Bottom