Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Huna baya baba mwamposa siku za ibada unanipa Sana pesa kupitia waamini wako apa gengen kwangu kawe 😎
🤣🤣🤣Yeye anafanya kazi gani?
Mtangazaji: Mtume kuna muujiza hapa.Yeye anafanya kazi gani?
Anaogopa changamoto ya hoja huyoMwamposa jitokese na ID yako najua uko humu JF.
😄😄😄🙌Huna baya baba mwamposa siku za ibada unanipa Sana pesa kupitia waamini wako apa gengen kwangu kawe 😎
Tz ni kapu la mbogamboga tumechnganywa na mnunuzi siku akifika jikoni anachagua apike nn na aache nnHuna baya baba mwamposa siku za ibada unanipa Sana pesa kupitia waamini wako apa gengen kwangu kawe 😎