ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hao wanaume laki nne wanafanya nini badala ya kwenda kulimaNipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Kupokea miujiza, maana mashetani wanatubaniaHao wanaume laki nne wanafanya nini badala ya kwenda kulima
Sana tena.Inasikitisha sana
Pole yenu sana, Serikali ijitahidi kuboresha huduma za kijamii na kupunguza ujinga, magonjwa, na umaskini nchi hii.Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Kila kitu Kiko sawaPole yenu sana, Serikali ijitahidi kuboresha huduma za kijamii na kupunguza ujinga, magonjwa, na umaskini nchi hii.
Inasikitisha sana anawauzia waumini wake maji,mafuta na mazagazaga kibao sijui hata kama analipa kodi huyu.Ni tapeli na mshirikina haswa
Kwa macho ya nyama unaona ni watu lakini wale utakuta ni kuku, jamaa ni mshirikina haswaInasikitisha sana anawauzia waumini wake maji,mafuta na mazagazaga kibao sijui hata kama analipa kodi huyu.
Mbaya zaidi anawajaza UJINGA wafuasi wake wamekuwa zombiez...
Ni "ninkiboko ya wachawi" au ni mchawi kiboko!!!!Mwamposa ninkiboko ya wachawi
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Afadhali awe mchawi na anaponya wanaoteseka na uchawi pia mapepoNi "ninkiboko ya wachawi" au ni mchawi kiboko!!!!
Kwa kweli