Mwamposa avunja rekodi zote tangu Tanzania iwepo kwa Kujaza watu viwanja vyote vya KAWE Jijini Dar es salaam

Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.

Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.

Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?

Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Facebook
Instagram​
Hao wanaume laki nne wanafanya nini badala ya kwenda kulima
 
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.

Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.

Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?

Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Facebook
Instagram​
Pole yenu sana, Serikali ijitahidi kuboresha huduma za kijamii na kupunguza ujinga, magonjwa, na umaskini nchi hii.
 
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.

Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.

Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?

Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Facebook
Instagram​
 
Attachments

  • IMG-20240705-WA0019.jpg
    IMG-20240705-WA0019.jpg
    178 KB · Views: 1
  • IMG-20240705-WA0017.jpg
    IMG-20240705-WA0017.jpg
    170 KB · Views: 1
  • IMG-20240705-WA0018.jpg
    IMG-20240705-WA0018.jpg
    172.7 KB · Views: 1
Mwamposa tafadhari sana. Tunaheshimu neno la mungu lakini ni kero kutuletea ibadani na madhabahu kulifanya jukwaa kwa hao wateuliwa wanao uwa utaifa wetu kwa uccm wao.

Foool
 
Back
Top Bottom