Wewe mpumbavu tokea lini mchawi akaponya? Ulishawahi kuona mtu amefanikiwa au kuponywa kisa Mwamposa? Au ni kinyume cha sentensi kwamba watu ndio wanamponya na kumtajirisha mwamposa.Afadhali awe mchawi na anaponya wanaoteseka na uchawi pia mapepo
Unajua maana ya watu Laki 4 lakini??? Unajua Stadium la Benjamin Mkapa likijaa full watu ni watu Elfu 60 tu?? Sasa kusema watu Laki 4 tena wanaume tu, hujaweka idadi ya wanawake ambao kwa kawaida ndio huwa wamelogwa zaidi na hawa "manabii".... Unataka kutuambia viwanja vya Kawe vinaweza kukusanya watu laki 8???Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Si wajinga bali umasikini na maradhi yanayotokana na ukosefu wa huduma bora za afya.Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Hiyo si wilaya nzima au pemba yote hao laki 8, jamaa kapamba hadi kaharibuUnajua maana ya watu Laki 4 lakini??? Unajua Stadium la Benjamin Mkapa likijaa full watu ni watu Elfu 60 tu?? Sasa kusema watu Laki 4 tena wanaume tu, hujaweka idadi ya wanawake ambao kwa kawaida ndio huwa wamelogwa zaidi na hawa "manabii".... Unataka kutuambia viwanja vya Kawe vinaweza kukusanya watu laki 8???
Unaambiwa LIPA NAMBA zime stack kwa utitiri wa miamala, muwe wavumilivu tutawapa updatesHebu tupe updates za Sadaka.......