Mwamposa avunja rekodi zote tangu Tanzania iwepo kwa Kujaza watu viwanja vyote vya KAWE Jijini Dar es salaam

Mbona kama wewe ni kibaraka wake hvi πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Watu wapumbavu milioni moja wakikusanyika pamoja kunaondoa ukweli kuwa ni wapumbavu au kunawafanya wawe werevu?
 
Umasikini unasumbua sana mtu anaamini akienda hapo kuombewa eti shida zake zitaisha
 
Hapo Mungu angepiga dhoruba moja ya tetemeko,wajinga wote wangekufilia mbali nchi ikabakia na watu wenye akili tungepiga hatua sana kimaendeleo,huu upuuzi wa dini za kitapeli unatuchelewesha kama nchi kimaendeleo,
hayo mazuzu yakitoka hapo yanapeleka lawama kwa Mwigulu na serikali eti tozo ya umeme imepanda, wakti wanapeleka mamilioni ya fedha kwa manabii feki,

Serikali ije na tozo kwa kila pesa wanayoingiza hawa matapeli, namshauri waziri wa fedha wabuni tozo zaidi na zaidi, hii Nchi watu wana pesa ila zinaliwa na matapeli wa kinabii wakati serikali hatupati kitu.
Serikali iweke tozo kwenye maji pia kwenye umeme tu haitoshi.
 
Ujinga mwingi sana, namfahamu dada moja mvivu sana leo kaacha kuja kwenye kibarua kaenda kwa Mwamposa.

Tukiweza kuondoa serikali mbovu afrika kinachofuata ni hawa manabii wa uongo.

Najua kuna watu watakasirika lakini hakuna kitu pale.
Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?

Mbona manabii wa kizungu huwa ham wadiss namna hii?
 
Watu wanapambana kumtafuta Mungu
Mungu unaweza kusali mwenyewe au nenda kanisani jumapili, hayo ya kumfuata mtu anajiita nabii akuombee ni dalili za umasikini na kukosa maarifa na unaamini binaadamu mwenzako atakutatulia shida zako, huku akitajirika na nyie mnazidi kuwa masikini
 
Wote ni wajinga.., bila shaka
 
Mm naona hata ukienda Kwa Mwamposa kama una imani yako juu ya ukuu wa Mungu sio mbaya, mbaya ukienda kumuona huyo Mwamposa kama ndio Mungu.
Ukiwa na akili timamu hutakiwi kabisa kumkabidhi mtu mwingine jukumu lako la kuwasiliana na Mungu wako. Ukifikia hatua hiyo unakuwa umemkosea sana aliyekuumba na akakupa akili zote hizo ulizonazo.
Mwamposa amekuwa hapa Mbeya tunamuoana anahustle leo amekuwa nabii. Lini huyo Mungu wenu aliwaambia kamtuma.
 
Ndio mkuu umesema sahihi
 
Ni tapeli na mshirikina haswa
Hawa manabii feki watakuwa wanatumika kulaghai watu wasidai uwajibikaji kwa serikali kuboresha uchumi na hali ya maisha. Maana kama serikali ingekuwa imeboresha hali ya maisha ikiwemo ajira kwa vijana, mishahara na maslahi bora kwa watumishi, huduma bora za afya, maji, umeme, barabara sidhani kama manabii hawa wa mchongo wangepata nyomi ya watu wanaotafuta miujiza.​
 
Haya ni matapeli ya dini
 
Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?

Mbona manabii wa kizungu huwa ham wadiss namna hii?

Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?

Mbona manabii wa kizungu huwa ham wadiss namna hii?
Hakuna kitu....kwa sasa hawa manabii wa uwongo na issue za ushabiki wa simba na yanga vyote vina mkono wa serikali....jamaa wamepata namna ya kuwapumbaza watanzania na watanzania wamepumbazika kweli. Kama hawa manabii wanaponya na kuondoa umaskini Tanzania ingekuwa dunia ya kwenza.
Angalia gharama ya wokovu....total BS
 

Attachments

  • mwamposa.PNG
    20.7 KB · Views: 1
Wewe mpumbavu tokea lini mchawi akaponya? Ulishawahi kuona mtu amefanikiwa au kuponywa kisa Mwamposa? Au ni kinyume cha sentensi kwamba watu ndio wanamponya na kumtajirisha mwamposa.

Tokeni usingizini mazombie nyie.
Mpumbafu ni wewe unaeshinda unaloga watu na kuwachukia watumishi wa Mungu,,watu wanakimbilia sehemu penye msaada angekuwa ni magumashi asingekuwa anakusanya Kijiji hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…