Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wapumbavu milioni moja wakikusanyika pamoja kunaondoa ukweli kuwa ni wapumbavu au kunawafanya wawe werevu?Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Umasikini unasumbua sana mtu anaamini akienda hapo kuombewa eti shida zake zitaishaNipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Hapo Mungu angepiga dhoruba moja ya tetemeko,wajinga wote wangekufilia mbali nchi ikabakia na watu wenye akili tungepiga hatua sana kimaendeleo,huu upuuzi wa dini za kitapeli unatuchelewesha kama nchi kimaendeleo,Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Ye mwenyewe ndo kubwa la wachawiMwamposa ninkiboko ya wachawi
Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?Ujinga mwingi sana, namfahamu dada moja mvivu sana leo kaacha kuja kwenye kibarua kaenda kwa Mwamposa.
Tukiweza kuondoa serikali mbovu afrika kinachofuata ni hawa manabii wa uongo.
Najua kuna watu watakasirika lakini hakuna kitu pale.
Watu wanapambana kumtafuta MunguUmasikini unasumbua sana mtu anaamini akienda hapo kuombewa eti shida zake zitaisha
Mungu unaweza kusali mwenyewe au nenda kanisani jumapili, hayo ya kumfuata mtu anajiita nabii akuombee ni dalili za umasikini na kukosa maarifa na unaamini binaadamu mwenzako atakutatulia shida zako, huku akitajirika na nyie mnazidi kuwa masikiniWatu wanapambana kumtafuta Mungu
Wote ni wajinga.., bila shakaNipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Instagram
Pesa haitoshi mkuuNamshangaa Mwamposa. Hatosheki na sadaka, watu wake wamepita mitaani kutangaza tena hiyo ungogetabo. Na kawapata kweli
Ukiwa na akili timamu hutakiwi kabisa kumkabidhi mtu mwingine jukumu lako la kuwasiliana na Mungu wako. Ukifikia hatua hiyo unakuwa umemkosea sana aliyekuumba na akakupa akili zote hizo ulizonazo.Mm naona hata ukienda Kwa Mwamposa kama una imani yako juu ya ukuu wa Mungu sio mbaya, mbaya ukienda kumuona huyo Mwamposa kama ndio Mungu.
Ndio mkuu umesema sahihiUkiwa na akili timamu hutakiwi kabisa kumkabidhi mtu mwingine jukumu lako la kuwasiliana na Mungu wako. Ukifikia hatua hiyo unakuwa umemkosea sana aliyekuumba na akakupa akili zote hizo ulizonazo.
Mwamposa amekuwa hapa Mbeya tunamuoana anahustle leo amekuwa nabii. Lini huyo Mungu wenu aliwaambia kamtuma.
Ni tapeli na mshirikina haswa
Ukitaka mganga wa kweli muombe Mwamposa akuonyeshe, japo si rahisi kwani atakuambia mganga wa kweli ni Yesu kumbe sivyo.Kikubwa mpunguze uzinzi ikiwa kweli Mnataka upako
Haya ni matapeli ya diniHawa manabii feki watakuwa wanatumika kulaghai watu wasidai uwajibikaji kwa serikali kuboresha uchumi na hali ya maisha. Maana kama serikali ingekuwa imeboresha hali ya maisha ikiwemo ajira kwa vijana, mishahara na maslahi bora kwa watumishi, huduma bora za afya, maji, umeme, barabara sidhani kama manabii hawa wa mchongo wangepata nyomi ya watu wanaotafuta miujiza.
Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?
Mbona manabii wa kizungu huwa ham wadiss namna hii?
Hakuna kitu....kwa sasa hawa manabii wa uwongo na issue za ushabiki wa simba na yanga vyote vina mkono wa serikali....jamaa wamepata namna ya kuwapumbaza watanzania na watanzania wamepumbazika kweli. Kama hawa manabii wanaponya na kuondoa umaskini Tanzania ingekuwa dunia ya kwenza.Kama hamna kitu kwanini watu wanaongezeka kwake kila siku?
Mbona manabii wa kizungu huwa ham wadiss namna hii?
Mpumbafu ni wewe unaeshinda unaloga watu na kuwachukia watumishi wa Mungu,,watu wanakimbilia sehemu penye msaada angekuwa ni magumashi asingekuwa anakusanya Kijiji hivyo....Wewe mpumbavu tokea lini mchawi akaponya? Ulishawahi kuona mtu amefanikiwa au kuponywa kisa Mwamposa? Au ni kinyume cha sentensi kwamba watu ndio wanamponya na kumtajirisha mwamposa.
Tokeni usingizini mazombie nyie.