GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo:
1. Wanawake na Uzao Wao
2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao
3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara
4. Watoto
5. Wanafunzi
6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu
7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana
Leo nasikia uko na Kundi la Wanawake wenye Mimba ambazo hujawauliza ni za Waume zao wa Ndoa au ni za Mahawara au Marafiki zao.
Mwamposa kwa ninavyokujua unavyopenda Pesa na Unafurahi kutumia Akili ndogo za Wanaokuamini na Kuomba Kwako nahisi ipo / kuna Siku utakuja na Maombi kwa Watu / Makundi yafuatayo:
1. Maombi Maalum kwa Wanaune Wasioweza kupiga Bao / Goli Mbili Vitandani.
2. Maombi Maalum kwa Madereva Bodaboda nchini Tanzania ili wasipate Ajali na Kukatwa Miguu.
3. Maombi Maalum kwa Wanawake Wavivu wa Kuoga na hawapendi Kuoga.
4. Maombi Maalum kwa Wanaume wasiojua Kufua Boksa zao na Kunyoa Mapori yao Tengefu ya Kibaiolojia yaliyo Mafichoni.
5. Maombi Maalum kwa Madereva DalaDala wote wa Tanzania ili Polisi wasiwe wanawapiga Faini pale Wakiwakamata.
6. Maombi Maalum kwa Wachawi wote nchini Tanzania.
6. Maombi Maalum kwa Waathirika wote wa VVU nchini.
7. Maombi Maalum kwa Mashabiki wa Simba na Yanga.
Haya GENTAMYCINE leo nimekupa hizi Ideas zangu Saba (7) za Kupiga Hela kwa hayo Makundi hivyo nakuomba 10% yangu uwe Unanipa kwani najua ulikuwa hujayabuni haya Makundi au ulikuwa hujui au hujayafikiria vile vile sawa?