Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo anaweza shetani kwa gharama ya damu YAKO ukitaka pesa na utajiri huoKuna mtumishi mmoja hapa kazini huwa namwambia mimi nataka maombi nipate gari nataka uniombee nikiamka siku moja nikutane na ndinga ndani ya geti likiwa full document tena nikamwambia nataka Kluger nyeusi, seat za leather....... Au kama sio gari basi nikute mpunga wa kutosha kununua gari chini ya kitanda changu 😁
Haya ndiyo maombi niyatakayo, sio uniambie unaniombea ila bado itanibidi nifanye kazi kwa bidii ili kujiongezea kipato ndio muujiza wako utimie 'nonsense!' piga maombi mzigo ushuke live 😛
Ni Mndengereko. Umeridhika? Hovyooo....!!!!!!Kumbe Pauline zongo ni mkongo
Kama naweza kufanya kazi kwa bidii nikapata pesa sina haja na huyo shetani na kama Mungu ananitendea miujiza nimuombapo bila kumtegemea mtu, Mwamposa wa nini nini sasa?! Nonsense!Hayo anaweza shetani kwa gharama ya damu YAKO ukitaka pesa na utajiri huo
Acha watu wale mkuu, ujinga unaposhamili ndipo wkt wa wengine kufaidika.
Hasa kondoo wakikeHawa manabii feki wanawapiga fedha sana kondoo.
Watu wanatoa ushuhuda wamepona kansa, Ukimwi na magonjwa mengine sugu yaliyoshindikana hospital. Wanaonesha majibu ya vipimo kabla na baada ya kuombewa. Watu wa Dar es Salaam mtuambie ni ya kweli haya?
Hakuna maombi ya hivyoKuna mtumishi mmoja hapa kazini huwa namwambia mimi nataka maombi nipate gari nataka uniombee nikiamka siku moja nikutane na ndinga ndani ya geti likiwa full document tena nikamwambia nataka Kluger nyeusi, seat za leather....... Au kama sio gari basi nikute mpunga wa kutosha kununua gari chini ya kitanda changu 😁
Haya ndiyo maombi niyatakayo, sio uniambie unaniombea ila bado itanibidi nifanye kazi kwa bidii ili kujiongezea kipato ndio muujiza wako utimie 'nonsense!' piga maombi mzigo ushuke live 😛