MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa.
Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa Hoi Mahututi, hawezi hata Kuongea, hajitambui na Macho yake alikuwa ameyafunga.
Cha Kushangaza huyo Muumini wako wa leo ambaye hukumpangia vyema Script yako ya Kutudanganya Watu (kama Kawaida) yako alisema (alikuambia) kuwa wakati wakiwa njiani kumpeleka Hospital huyo Mgonjwa wao aliyekuwa Mahututi na Hoi akawaambia wqmlete Kwako Kanisani Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers
Pole sana Mwamposa kwani nilikuona hata Wewe Director wa hii Movie na Muandaaji wa Script yako ya Uwongo na Kutudanganya tusiojitambua Ulishtuka kwa Kukosea Kwake huko na Ukakwazika ila ukatumia Akili Kubwa kwa Kuzuga na kuanza Kuimba Wimbo wako pendwa wa ....Namshukuru Mungu..... Namshukuru Bwana...ambao hata hivyo huwa unauharibu kwa Sauti yako mbaya ya Mkwaruzano.
Nilikuwa sijui kumbe Mgonjwa aliye Hoi, Mahututi, hajitambui na amefumba Macho yake anaweza Kuwaambia waliombeba kuwa wamlete Kanisani Kwako hapo Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers?
Haya Mfukunyuku Mbobezi MINOCYCLINE nimemaliza huku nikiendelea kuwapa Pole Waumini wako.
Kazi kweli kweli hakyanani....!!!!!!