thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Huenda ukawa sahihi hilo silifahamu sana. ILA usihusishe makanisa ya pentecostal kwamba anachofanya mwamposa wamekubaliana nalo ndo mana nikakwambia DINI hazina shida matatizo huletwa na watu. Ndugu zetu waislamu kitimoto hawataki hata kuusikia ILA nipo na marafiki kibao tunakula weekend kwahyo siwezi ky judge uislamu ni wa hovyo kisa rafiki yangu muslamu kala kitimoto hiyo generalization ndiyo naikataa mimiKwa taarifa yako Mwamposa halipi kodi. Yeye kama kanisa/NGO hatoi hata senti tano. Kodi anayolipa ni ile iliyo kwenye bidhaa za matumizi ya kila siku ambayo mtu huanza kulipa siku ya kuzaliwa na kukoma kuilipa baada ya kufa na gharama za mazishi (sanda au/na sanduku) kulipiwa.