Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

Kama ambavyo hata Upumbavu ulionao huwa haudanganyi vile vile.
Siunaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
99% ya Kondoo wake ni Mazuzu sana.
 
Idadi ya waumini ni wengi mno, lazima kupata usafiri kwa mara moja itakuwa ngumu...
 
Wewe ni mshamba mmoja hivi uliokosa direction ya mjini,umebaki unatapatapa tuu.
 
Any time ni kulalama ,mpaka unabadili ID ,shida nini ? Be copetant
Sina ID nyingine zaidi ya hii ya MINOCYCLINE hapa na kama nawe unaamini kuwa Mimi ni huyo Basha wenu mnayempenda na Kumshobokea Kutwa badi nawe utakuwa ni damn Fool kabisa sawa?

Hili neno lako la Copetant uliloliandika hapa lipo katika Lugha yenyewe ya Waingereza? Kwani ungeandika tu kwa Kiswahili rusingejua kuwa nawe ulikimbia Umande na Umesoma?

Pumbavu.
 
Idadi ya waumini ni wengi mno, lazima kupata usafiri kwa mara moja itakuwa ngumu...
Na ndipo hapo sasa Sisi Mafisi tunapowabandua mno na tutawabandua hadi Mapepo yao yawatoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…