MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

Bwana asifiwe,

Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
Hayo ndio majibu yatokanayo na fungu la kujimaliza[emoji16]

Hawa watu mara nyingi huwa wanakosa busara. Mnawachangia pesa kwa kujitia umaskini hakafu wakishazipata wanakebehi na kuwachamba kwa unaskini waliowasababishia
 
Bwana asifiwe,

Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
enzi zake yeye hata kitambulisho tu hakuwa nacho, enzi zile anashikwa mkono avushwe barabara baada ya kuiona dsm kama ulaya.
 
Hiyo ni kazi ya Mungu ,kaanza kumshusha, kama una kumbukumbu lusekero na yeye Kabla hajashuka Kuna maneno alianza kuyatoa,uje gwajima the same , huyo hamalizi miaka miwili atakuwa kama gwajiboy na lusekero ,.

Wanaposhuka Huwa wanakumbwa na roho wa majivuno huyo huwatawala mpaka mwisho, fuatilia Kuna pumba nyingine ataongea hivi karibuni
 
Back
Top Bottom