Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu ndiye aliyeahidi kuwapeleka wa umini wake ulaya🤔Bwana asifiwe,
Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
Nilidhani anaongelea Passport ya kwenda Mbinguni ambayo ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi.Bwana asifiwe,
Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?