PostGE2025 Mwamposa “Mauaji yaliyotokea siku ya uchaguzi yalinihuzunisha sana”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Pascal_TZA

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
35
Reaction score
102
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025

“Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu, watu kuuawa katika Uchaguzi, vurugu zilizotokea, watu kuuawa sio jambo la kufuraisha katika Taifa lilinihuzunisha sana, nimetoa pole kwa watu senti sana na kuwatia moyo na kuwaambia bado tumaini lipo”

“Mshtuko uliotokea kila mtu alishtushwa wengine labda hawakupata shida ya kuumia ila moyo wake uliumia, hili tukio ni picha mbaya kwenye maisha yake, ambayo kwa mwaka 2025 haikua alama njema “
Mtume Mwamposa

IMG_8070.jpeg
 
Hajamaliza atuambie kwanza HAKI na AMANI ni kipi kinatangulia?
 
Ala munafiq thalatha..

Huyu kwenye mikutano wa mama Yao na wazee wa dar. .. Samia alipotetea mauaji si alipiga makofi huyu fala na tapeli mkubwa
Manina zake
 
takataka kabisa hiyo, leo anaongea hivyo ili wananzengo wasiende KUMTEMBELEA hapo kwenye biashara yake, anajua vizuri Tu kuwa watu wenye akili hawapo pamoja na yeye, hayo mabanda yangengolewa hapo ingekuwa poa sana
 
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025

“Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu, watu kuuawa katika Uchaguzi, vurugu zilizotokea, watu kuuawa sio jambo la kufuraisha katika Taifa lilinihuzunisha sana, nimetoa pole kwa watu senti sana na kuwatia moyo na kuwaambia bado tumaini lipo”

“Mshtuko uliotokea kila mtu alishtushwa wengine labda hawakupata shida ya kuumia ila moyo wake uliumia, hili tukio ni picha mbaya kwenye maisha yake, ambayo kwa mwaka 2025 haikua alama njema “
Mtume Mwamposa

Mnafiki....x 100
X 100
 
Atulizaneee tuu maana jinai yake haifii aliya watu Moshi...

M
 
Huyu punda ale alikopeleka mboga
 
Hilo TAPELI litasikilizwa na MAJUHA tu.
 
kuna siku hiyo tanganyika packers tutakuja kuisafisha iwe nyeupe kabsa subiri muda utafika, huyo tapeli tuuu
 
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025

“Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu, watu kuuawa katika Uchaguzi, vurugu zilizotokea, watu kuuawa sio jambo la kufuraisha katika Taifa lilinihuzunisha sana, nimetoa pole kwa watu senti sana na kuwatia moyo na kuwaambia bado tumaini lipo”

“Mshtuko uliotokea kila mtu alishtushwa wengine labda hawakupata shida ya kuumia ila moyo wake uliumia, hili tukio ni picha mbaya kwenye maisha yake, ambayo kwa mwaka 2025 haikua alama njema “
Mtume Mwamposa

Wakati unawasafisha unawasifia na kushikamana na wauaji,leo ndiyo wamekutuma utoepole ya kinaa baada ya kuona wamekataliwa wao na chawa wao?
 
Back
Top Bottom