Kwa upumbavu wake atakwambia amaniHaki na amani ni sawa sawa na kuku na yai kila mmoja ni wa kwanza kulingana na mazingira
Sawa,Kama nawaona manyumbu wakishangilia Kauli hio...kama kawaida wakikata kipande hiko Cha clip na kukitembeza mwezi mzima kwenye social media
Wala asiseme lolote huyo mkanyaga mafuta ya upakoNdiyo mbinu ya kuvuta Wateja kwenye mkesha ama?
Mauaji ya wahalifu waliolipwa na ford foundation kwa kushikirikiana na mange na maria na genge lao waliotaka kupindua serikali na kumpindua Mheshimiwa RaisSawa,
uliyefurahia mauaji na kufanya party anzisha thread, wafuasi wako tupo.
Huyu punda ale alikopeleka mboga
Kwani michango imedoda kwenye mabanda yake au akili za kibinadamu zimemrejea?Akili zimeanza kuwarudi.
Nasikia wengine wanasema eti Mwamposa hakushangilia kabisa wakati Samia akihutubia.Ala munafiq thalatha..
Huyu kwenye mikutano wa mama Yao na wazee wa dar. .. Samia alipotetea mauaji si alipiga makofi huyu fala na tapeli mkubwa
Manina zake
Kwanini hukuzungumza siku hizohizoMtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025
“Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu, watu kuuawa katika Uchaguzi, vurugu zilizotokea, watu kuuawa sio jambo la kufuraisha katika Taifa lilinihuzunisha sana, nimetoa pole kwa watu senti sana na kuwatia moyo na kuwaambia bado tumaini lipo”
“Mshtuko uliotokea kila mtu alishtushwa wengine labda hawakupata shida ya kuumia ila moyo wake uliumia, hili tukio ni picha mbaya kwenye maisha yake, ambayo kwa mwaka 2025 haikua alama njema “ Mtume Mwamposa
Alipiga Tena kwenye sentensi mbayaNasikia wengine wanasema eti Mwamposa hakushangilia kabisa wakati Samia akihutubia.
Hata mie nilimuona hakuwa na furaha siku ile.Nasikia wengine wanasema eti Mwamposa hakushangilia kabisa wakati Samia akihutubia.