PostGE2025 Mwamposa “Mauaji yaliyotokea siku ya uchaguzi yalinihuzunisha sana”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndiyo mbinu ya kuvuta Wateja kwenye mkesha ama?
 
Ndiyo mbinu ya kuvuta Wateja kwenye mkesha ama?
Wala asiseme lolote huyo mkanyaga mafuta ya upako

Damu za Watanganyika zinawalilia.

Aliwakejeli kabla ya uchaguzi akabikia kusifu na kupongeza, na anyamaze kimya.
 
Sawa,

uliyefurahia mauaji na kufanya party anzisha thread, wafuasi wako tupo.
Mauaji ya wahalifu waliolipwa na ford foundation kwa kushikirikiana na mange na maria na genge lao waliotaka kupindua serikali na kumpindua Mheshimiwa Rais
 
Ala munafiq thalatha..

Huyu kwenye mikutano wa mama Yao na wazee wa dar. .. Samia alipotetea mauaji si alipiga makofi huyu fala na tapeli mkubwa
Manina zake
Nasikia wengine wanasema eti Mwamposa hakushangilia kabisa wakati Samia akihutubia.
 
Mwamposa acha unafiki wee jamaaa

K
Kwanini hukuzungumza siku hizohizo

Leo ndio uje uzungumze achaaa unaaaa Bro tutapita na wewe siku si nyingi
 
Naona na yeye kaanza kutoka, vipi kakumbwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…