Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

Afadhali, atuachie ITV yetu tutazame Al Jazeera usiku mpaka asubuhi!
Mkuu, kwanini usiangalie channel ya Al Jazeera hadi usubiri huko kuonjeshwa na ITV?
Binafsi hiyo ndiyo Channel yangu pendwa, kila news hour lazima niangalie.
 
Alidandia gari kwa mbele, hii habari itamfurahisha sana Diamond.
Nadhani siyo suala tu la mtu kukurupuka. Main stream media zinapitia changamoto kubwa sana kufuatia mabadiliko ya kasi kubwa ya teknolojia.

Ujio wa social networking services na blogosphere umepunguza sana faida za mainstream media.

Wanaoyumba kwa kipato siyo EFM na TVE pakee, Sahara media na Ippmedia Cloudsmedia group, wana kilio cha kimya kimya, Makampuni ya magazeti mengi yamefungwa.
 
Wajinga ndio waliwao
 
Yaan Mkuu acha kabisa safari ni ndefu hasa kwa familia zetu ubia wa kibongo... Ukiwa Muhasibu ni ugomvi ugomvi ... Ukitoa baadae unaulizwa nani alikuruhusu... Aliyekuja kudai naye ana share na sauti duuuu...
 
Uko vizuri kwenye hiki kitengo, ngoja tusubirie.
 
Hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…