Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila itakuwa aibu sana, zile mbwembwe zote na yale matamasha sijui itakuwaje?🤣 Huku kwenye media hilo jambo ni sugu, kama hadi itv tunaskia lawama na mishahara, hizi media zingine wafunge tu
Wewe uko wapi mjini hapa? Kondoo wawili (pengine kuna wengine pia mi sijui) wameporomoshewa mijengo mmoja Kigamboni mwingine sikumbuki ni wapi.Fungua hiyo code mkuu, hii tena n mpya.
Ukishamaliza kuandika kutag ni kipengele Mkuu, na ni wengi huwa wanaomba hivyo ila ukitaka kupata habari kwa haraka nifollow utaona nikipost.Nifah Mwachiluwi hamjanitag dah😂
Jee a rise and shine itakuwa inafanya kazi gani?
Enewei
Ndio maana nimesema ni katika kutanua wigo wa huduma kwa waumini wake Wakuu.Kampuni (...) kununua kampuni ni jambo kawaida na linaweza kuwa jambo ka heri.
Kwa hiyo Arise and Shine anatengeneza media conglomerate!!!
Haujaolewa Nina uhakikaHata hiki unachokifanya hapa ni umbea, umejuaje kama sijaolewa?
Duuuh, hio sasa mbona mbaya sanaa,Hapo unakuta money withdrawn for family use kwenye kampuni ndio kipengele kikuu kinachokwamisha taasisi. Nimewahi kufanya kazi kwenye taasisi za kifamilia kama Hizo. Sikukuu kama christmas muhasibu unaforciwa kufanya transfer ya 15m kwa kila mwana familia ( kwa sikuku ya siku moja) na ilihali mishahara ya staff hawatoi approval. Unakuta familia inainyonya kampuni
Nimekujaza ukajaa, mbona wewe ndio mbea kunizidi sasa?Haujaolewa Nina uhakika
Ndo maana unakonda kisa umbea wenzako wanafanya hizi Kazi wanalipwa a lot of money we unakuja JF kuandika ujinga
Napinga redio za dini na tv za dini ....ushauri ni kwamba ni vema serikali ifungue redio moja tu kwa wakristo na moja tu kwa waislamu...kisha wakristo wote wawe wananunua huduma kwa hiyo redio na waislamu nao wanunue huduma kwenye radio yao ...redio za dini na tv zimekua nyingi wala hazina tija wala faida yoyote watu wanazidi kuwa waovu ...ni kama upumbavu wa misikitini wa kuamini dini ni hijabu wakati hakuna chochote ambacho ni faida kwa tz kwa watoto wanafunzi kuvaa hijabu ...maana ndiyo kwanza umalaya umeongezekaView attachment 3184579
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi wameshibana…
Mkurugenzi wa EFM Bwana Francis Ciza maarufu kama Majizzo (Mume wa muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’) wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na Askofu Mwamposa katika kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mikutano na ibada zinazoendeshwa na Mwamposa kwa kipindi kirefu.
Baada ya kufanya kazi pamoja kwa kipindi kirefu, hivi sasa wapo kwenye mazungumzo ya kumuuzia media hiyo Mwamposa.
Nimetaarifiwa kwamba vikao vya mauziano hayo vinafanyika kwa siri nyumbani kwa Majizo, huku dau likiwa bado halifahamiki lakini ikielezwa Majizzo anataka dau kubwa linalokwamisha taratibu za mauziano kuanza.
EFM Radio imemshinda Majizzo!
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na minong’ono ya wafanyakazi kushindwa kulipwa mishahara kwa wakati, ikisemekana wanaolipwa bila kusumbuliwa ni wale watangazaji wenye majina makubwa pekee, huku wale wachanga wakipitia wakati mgumu kimalipo.
Taarifa za uhakika ni kwamba redio hiyo imemshinda Majizzo, changamoto za uendeshaji zimemuelemea na inasemekana kama sababu kuu ya yeye kufikia uamuzi wa kumuuzia Mwamposa kampuni yote hiyo ya habari iliyokuja kuzipa chachu redio kongwe miaka ya mwanzoni mwa uzinduzi wake.
Majizzo siye mmiliki pekee…
Taarifa za usajili wa kampuni zinaonesha kumilikiwa na ndugu watatu, yeye Majizzo (Francis Ciza 40%) ndugu zake kwa upande wa baba yake mlezi Mzee Ciza… Jean Ciza 40% pamoja na Justine Ciza 20%
Wenu katika unyetishaji, mimi na chanzo changu,
Nifah.
Transformer ya Jonijoo na Almando vp?Hii radio kwa Sasa haishawishi kbsaa, watangazaji wake hawana content kbsaaa hasa wale wa joto la asubuhi, yaan angalau kipindi kizuri kwa Sasa kweny hii radio ni "Genge"tu kile Cha usiku.
Sawa, hili ni jukwaa huru sipingani na maoni yako Mkuu.Napinga redio za dini na tv za dini ....ushauri ni kwamba ni vema serikali ifungue redio moja tu kwa wakristo na moja tu kwa waislamu...kisha wakristo wote wawe wananunua huduma kwa hiyo redio na waislamu nao wanunue huduma kwenye radio yao ...redio za dini na tv zimekua nyingi wala hazina tija wala faida yoyote watu wanazidi kuwa waovu ...ni kama upumbavu wa misikitini wa kuamini dini ni hijabu wakati hakuna chochote ambacho ni faida kwa tz kwa watoto wanafunzi kuvaa hijabu ...maana ndiyo kwanza umalaya umeongezeka
Usiwaze mshuaNdio naona now
Tumiaakili ...unga mkono hojaSawa, hili ni jukwaa huru sipingani na maoni yako Mkuu.
Nshaku follow tyr! Usijal mkuuUkishamaliza kuandika kutag ni kipengele Mkuu, na ni wengi huwa wanaomba hivyo ila ukitaka kupata habari kwa haraka nifollow utaona nikipost.
Kazi yako unapitia news feed yako basi.
Wakristo mnapumbazwa na waislamu kwa kutengenezewa mitume feki na kuwapa vibari vya kuwapumbaza hili waislamu wazidi kushika njia kuu za uchumi wa nchi ...baada ya miaka 10 kutoka sasa hakuna mkristo atakaye kuwa tajiri wa maana ....matajiri wote watakuwa waislamu na zaidi waislamu wenye asili ya kiarabu ...wao ndiyo watakuwa waajili nchiniHoja zako ngumu, siziwezi.