Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

Nimekujaza ukajaa, mbona wewe ndio mbea kunizidi sasa?

Sikukuu njema, muda wa kugombana na stranger sina.
Cheers
Kaa utulie 30 yrs still no marriage usichukulie kawaida
 
ndo kazi yako inakuja hapo nifah. si unapenda journalism?

unampeleleza kisha unamwaga mafile yake

kama tb joshua na abushiri walivofanywa

abushiri kabonyezwa hadi kakimbia nchi. SA wana akili!

shida waandishi wetu wanapenda habari rahisi, mambo magumu hawataki
Ya Abushiri nilinyoosha mikono juu, jamaa wamemmaliza kabisa.

Ila kwa TB Joshua huwa nabaki na kigugumizi maana tuhuma zimekuja baada ya yeye kufariki, angekuwa hai ingeleta maana zaidi.

Huyu wa kwetu nikitaka habari zake hata leo haiishi nakamilisha ila sijaona haja ya kufanya hivyo, wanaoamini waamini na tusioamini tusiamini.
 
Wewe uko wapi mjini hapa? Kondoo wawili (pengine kuna wengine pia mi sijui) wameporomoshewa mijengo mmoja Kigamboni mwingine sikumbuki ni wapi.

Tena kuna siku nadhani Valentine ya mwaka juzi wahusika hao wawili walichambana kila mmoja anaringishia yeye ndio kamshika Mtumishi na anatamba naye.
Hii bado kwangu ni new update kweli nyuzi mnaziweza ninyi.
 
Kama hii habari imetoka kwenye vyanzo vyako, nipo tayari kuiamini Kwa asilimia 99

Heri ya sikukuu ya Christmas Mjukuu, natumai wewe na Mkwe wetu nyote hamjambo 🙏🙏
 
Nyuma yupo mkuu wa Kaya la jumba la kutunga sheria.

Twambombo!
 
Back
Top Bottom